spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Mkuu hakuna haja ya kupanda basi...halafu accessibility ya vituo vya mabasi kwa miji ya China huwa vipo mbali kidogo na mjini...
Nanjing to Shanghai kuna 沪宁城际高速铁路 ile fast treni kama D 号车(D hao che) au G 七号车 (G qi hao che) au maarufu kama bullet train...hii huchukua muda mfupi tu na inatokea vituo vyote pale Nanjing na Shanghai
Wakati natoka ilikuwa imesimamishwa kwa ajili ya matengenezo. Treni kutoka Nan Jing haikuwepo hadi 2011 walipotengeneza. Walipofanya majaribio ilileta hitilafu wakasimama.