Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
mmhh hata kama ningekuwa namfaham huyo mtu siwezi kukupa mawasiliano yake yaani mtu unajiita firdaus
bu shi,...Just ma friend你在江苏吗?那个城市?
Okay mkuu, nashukuru sanaWapo watz wengi ktk jiji la Nan Jing wanasoma kichina, ngoja nitakuunga.
Mbona nyie watoto wa division 5 mnapenda kuunganishwa unganishwa? nenda kapambane mwenyewe utaweza tu acha woga. we vipi?
bu shi,...Just ma friend
你在江苏吗?那个城市?
Ha ha ha, so funny.
:wacko: :wacko::wacko::wacko::wacko:
Nan Jing University yupo Bhoke anajifunza kichina, Nan Jing Artillery Academy wapo maafisa wanne wa tz na Shanghai University karibu na mnara mkuu wa posta una wawili. Nitaku PM e-mail zao punde ngoja nimalizie. Kutoka Nan Jing kwenda Shanghai ni saa mbili kwa basi lkn sijajua km ile treni ya ardhini imeshaisha.
真的吗?。。。。。。。。。。。。Mkuu hakuna haja ya kupanda basi...halafu accessibility ya vituo vya mabasi kwa miji ya China huwa vipo mbali kidogo na mjini...
Nanjing to Shanghai kuna 沪宁城际高速铁路 ile fast treni kama D 号车(D hao che) au G 七号车 (G qi hao che) au maarufu kama bullet train...hii huchukua muda mfupi tu na inatokea vituo vyote pale Nanjing na Shanghai