Msaada: Mtoto ana kitu wanaita kimeo

Msaada: Mtoto ana kitu wanaita kimeo

Ngoja nifuatilie uzi huu, Ila wengi wanakatwa
 
Ngoja nifuatilie uzi huu, Ila wengi wanakatwa
 
Unaweza nisaidia gharama zake na ni wapi?
Hio ni kienyeji zaidi, kuna wazee wanaojua haya mambo.
hata mimi niliambiwa tu kumpeleka kwa huyo mzee na akamwangalia aksema kipo akafanya yake-Singida.
Hela ndogo tu hata 10000 inatosha sana
 
Mpeleke kariakoo mtaa wa Mdoe kwa mkata kimeo...Tatizo litaisha Fasta.....Tiba za kizungu sizijui mwafrica mimi!!
 
Huwa wanakata mitaani lakini ni hatari sana!! Kwani hapo hospitalini wamekuambiaje kuhusu imani ya kukikata? uko mkoa gani? nauliza kwa nia njema lakini
Mkuu fafanua, HATARI SANA maana yake nini?
 
Back
Top Bottom