Msaada: mtoto anacheua kama ana kiungulia

Msaada: mtoto anacheua kama ana kiungulia

magessa78

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2009
Posts
270
Reaction score
31
Habari madaktari,
Mtoto wangu anakuwa kama kuna kitu kinamsumbua kufuani.unapomaliza kumpa maziwa anakuwa km anajinyonga kifuani halafu anacheua..ukiyalamba aliyocheua yana ladha ya uchachu km kiungulia vile au acid.sasa sijui tatizo ni nini,na je tufanyeje??msaada wenu pliz
 
Back
Top Bottom