Aloe vera ni laxative(inalainisha choo). Sasa mtoto anaharisha alafu uumpe tena aloe vera!!??.
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri.Pole sana mdau,mwezi uliopita wanangu walikuwa na tatizo hilo.
Kwanza hakikisha kila anapoharisha mpe maji ya ORS ni muhimu sana kwasababu yanarudisha nutrients anazopoteza kwa kuharisha.
Pili,muone Dr wa watoto haraka sana.Fuata ushauri wa Dr ndugu.
Kuhusu maziwa ya Ngo'mbe.Nakushauri acha kabisa kumpa mtoto kwasababu kwenye maziwa ya Ngo'mbe kuna bacteria huwa hafi hata yachemke vipi ndo maana inashauriwa kumpa mtoto maziwa ya KOPO uliyoyataja kwasababu hayana huyo bacteria. KUMBUKA MAZIWA MAZURI NI YA MAMA TU.
Nikemkuta mtu anampa maziwa ya Ngo'mbe mwanangu...atanikoma. First born ametusumbua sana kwasababu alikuwa na bili kabisa ya maziwa ya Ngo'mbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauri,mama ni mwajiriwa ndio maana wakati yupo kazini ndio huwa anapewa hayo maziwa.1. Kwa nini unampa maziwa ya kopo katika umri huo? (Hii ni wk ya unyonyeshaji) Inashauriwa mtoto asipewe chochote hadi miezi 6.
2. Kama walivyoshauri waliotangulia mpe ors na ped zinc kwa siku 10 hata kama amefunga.
3. Mara nyingi husababishwa na virus, hivyo antibiotic haina nafasi.
4. Aendelee kunyonya.
5. Usafi ni muhimu kuzingatiwa hasa vyombo unavyompia maziwa.
Wengine wataongezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yepi ambayo tunapaswa kuuliza humu?Hivi swala la mtoto kuharisha linaitaji ushauri hapa kweli?mpeleke mtt hospital wafanye vipimo utapata majibu then dawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo bacteria asiekufa kwa kuchemsha anaitwaje? Jambo kubwa la kuzingatia mleta mada inashauriwa usimpe mtoto mchanga kitu chochote cha kula au kunywa hadi atimize miezi 6, isipokuwa dawa tu au hiyo ORS. Unaweza kuibia kumpa maji ya kawaida yaliyo chemshwa wakati akiwa mzima. Kama mama unakuwa mbali na mtoto basi mkamulie maziwa ya mama yake hifadhi ktk chupa maalum na usafi uzingatiwe sana. Maziwa ya kopo nayo kwa dunia hii iliyotawaliwa na bidhaa bandia hasa za mchina ni kubahatisha. Kumbuka kashikashi (scandal) la maziwa ya watoto yenye sumu kule uchina nadhani ni 2007/2008 ilivuma sana ktk vyombo vya habari.Pole sana mdau,mwezi uliopita wanangu walikuwa na tatizo hilo.
Kwanza hakikisha kila anapoharisha mpe maji ya ORS ni muhimu sana kwasababu yanarudisha nutrients anazopoteza kwa kuharisha.
Pili,muone Dr wa watoto haraka sana.Fuata ushauri wa Dr ndugu.
Kuhusu maziwa ya Ngo'mbe.Nakushauri acha kabisa kumpa mtoto kwasababu kwenye maziwa ya Ngo'mbe kuna bacteria huwa hafi hata yachemke vipi ndo maana inashauriwa kumpa mtoto maziwa ya KOPO uliyoyataja kwasababu hayana huyo bacteria. KUMBUKA MAZIWA MAZURI NI YA MAMA TU.
Nikemkuta mtu anampa maziwa ya Ngo'mbe mwanangu...atanikoma. First born ametusumbua sana kwasababu alikuwa na bili kabisa ya maziwa ya Ngo'mbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama akamue maziwa yake yawekwe kwenye chupa iliyo chemshwa. Hakikisha nyonyo ile ya chupa inachemshwa na kuzibwa na kifuniko wakati wote, pia inaoshwa kwa maji ya moto kila baada ya kunyonyeshwa mtoto. Maziwa ya mama yanakaa muda mrefu bila kuharibika. Mama ale chakula cha kutosha ili kupata maziwa mengi. Aflajiri kabla hajaondoka anaanza kukamua.Nashukuru kwa ushauri,mama ni mwajiriwa ndio maana wakati yupo kazini ndio huwa anapewa hayo maziwa.
Sio swala la idea mkùu vipimo ndo kila kitu/hospital hapa utajibiwa pia na wasiokuwa na taaluma hiyo, ushauri hata kwa wengine piaNi yepi ambayo tunapaswa kuuliza humu?
Kama huna idea si ukae kimya tu mkuu.