ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
Maziwa si ishu sana, japo haishauriwi sana kumpa aina mbalimbali za maziwa hasa akiwa chini ya miezi6 na vyema zaidi kuzingatia hilo hata kwa mtoto wa mwaka mmoja...
Mpeleke hospitali haraka, tatizo dogo tu hilo mkuu, huwezi kusaidiwa dawa hapa, mpakaa dokta aonane na mgonjwa, aone hali yake
Mpeleke hospitali haraka, tatizo dogo tu hilo mkuu, huwezi kusaidiwa dawa hapa, mpakaa dokta aonane na mgonjwa, aone hali yake