Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Aende spitali.kutiririka mafuaa ni kiashiria kikubwa kuwa ni allergy.
Si unaona mtoto wa mwezi mmoja ameshaanza kumpa OTC medicines?
Kujiandaa na uzazi sio kliniki tu. Ni mengi aisee hata ya antenatal care ambayo yangejumlisha mafunzo kama haya kwa wazazi na hasa wa mara ya kwanza.