Ahaa basi sawaAnavuta masikio mkuu, na kila anachoona kinafaa kuvuta kama Vidole n.k
Bado ana nyonya?Mwaka mmoja na miezi 5
Melatonin inayotoka kwenye maziwa ya mama inatosha kumpa mtoto usingizi. Mpe maziwa ya ng’ombe jioni.Ndiyo ananyonya
Mkuu, huyu mtoto anacheza kupita kiasi. Yaani kupita kiasi... Mchana sio mlalaji labda tuangalie ushauriHuyo mtoto atakuwa hashibi vizuri, anahitaji michezo zaidi na kuongezewa lishe ya ziada mbali na maziwa ya mama. Kuna uwezekano mkubwa kuwa mwili wake una uchakataji wa viinilishe uliopita juu ya kiwango cha kawaida kwa umri wake, hivyo ni vizuri ukamuongezea aina nyingine za vyakula,kiwango cha vyakula na kuweka utaratibu wa kumlisha kila baada ya masaa 2-3. Akiisha shiba hakikisha anacheza sana na usimruhusu kulala mchana.
Ok hakikisha anapata milo midogo midogo mingi iliyo na virutubisho kamilifu.Mkuu, huyu mtoto anacheza kupita kiasi. Yaani kupita kiasi... Mchana sio mlalaji labda tuangalie ushauri
kuhusu Ulaji