GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Habari wakuu,
Kwa wale waliowahi kulea watoto wagumu kulala mlikuwa mnafanyaje? Yaani mtoto mpaka saa 6 usiku anakomaa na watu wazima kwenye Tamthilia. Hata ukisema ulale mapema huo usumbufu ndio balaa, ataanza kukuvuta hiki na kile yaani ni balaa tu.
Hivi hili ni tatizo au kitu gani? Yaani hata miaka miwili hajatimiza huyu akikua si ndo atalala nusu saa kwa siku?