Msaada: Mtoto hataki kutumia potty

Angalia mtoto wako huwa anapata haja mida gani.

Ikifika mida mida hiyo mkalishe kwenye potty ikiwekekana umwekee cartoon au uimbe nae nyimbo za nursery.

Akiweza kutoa Haja kwenye potty mke zawadi. Makofi yanatosha.

Nyie kina mama wa siku hizi mna vituko kweli !!🀣
 
Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu

Mimi nawashangaa sana, hivi wewe huogopi haja??, hivi ni nani anayependa kinyesi??!!🀣.

Wewe unaweza kukaa na kinyesi??.

Huyo mdogo wako lazima hivi sasa ni more intelligent than you, presumebly.
🀣
 
Endelea kumbembeleza hivyo hivyo taratibu atakuja kukubali. Mpe mda
 
Mimi nawashangaa sana, hivi wewe huogopi haja??, hivi ni nani anayependa kinyesi??!!🀣.

Wewe unaweza kukaa na kinyesi??.

Huyo mdogo wako lazima hivi sasa ni more intelligent than you, presumebly.
🀣

Wapi nimeandika kuhusu mimi kuogopa ama kutokuogopa

Acha kukurupuka
 
Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu

Hiyo Uliona kwa mdogo wako, swali ni; je mama yako hakukuambia na wewe ulikuwa ukiogopa n'nyaa yako ulipokuwa mdogo kama huyo mdogo wako??!!--- point ipo hapo.
 
Mimi nawashangaa sana, hivi wewe huogopi haja??, hivi ni nani anayependa kinyesi??!!🀣.

Wewe unaweza kukaa na kinyesi??.

Huyo mdogo wako lazima hivi sasa ni more intelligent than you, presumebly.
🀣
Hiyo Uliona kwa mdogo wako, swali ni; je mama yako hakukuambia na wewe ulikuwa ukiogopa n'nyaa yako ulipokuwa mdogo kama huyo mdogo wako??!!--- point ipo hapo.
Kumbe unajua kuuliza

Siku nyingine uwe na utaratibu wa kuuliza kwanza kabla hujakurupuka ku-assume unachoamini na kuleta ujuaji wa kijinga
 
Unaposema uliona kwa mdogo wako sasa kwako ilikuwa vipi??.

Unaposema, mfano, mdogo wako alikuwa mwizi alipokuwa mdogo, most likely wewe hukuwa mwizi ulipokuwa mdogo. Use yiur common sense young lady.🀣
 
Zingatia huu ushauri tafadhali
 
Endelea kumlazimisha ajifunze kutumia pot hata akilia mlazimishe hivyohivyo baadaye atazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38]nitatia neno PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia huu ushauri tafadhali

Joana, pretty young lady.

Tufanye mjadala uwe mfupi.

Jibu swali hili; je wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa huogopi au unaogopa kinyesi chako???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali hili; je wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa huogopi au unaogopa kinyesi chako???

Siku nyingine anza kuuliza namna hii

Asante kwa kunielewa na kufanyia kazi ushauri
 
watoto bhana mi nawaweza sana wana mambo ya ajabu, Swalehe enzi hizo nmembeba fresh tu unakuta anaanza kulia namshusha chini na mimi naanza kulia zaidi yake, naigiza lakini nalia wee tena kwa sauti kubwa unakuta kimenyamaza kina anza kunishika macho au mdomo kama kinanibembeleza mchezo Usha badilika πŸ˜‚
Na tulia tunaanza kucheka

watoto wana vijimambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…