kila mtu ana malez yake so jibu ni ndio
Mtoto wa miezi 14 bado anavalishwa Pampers?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema walichokosea hatukuzipata kumzoesha tangu akiwa mdogo, tumeanza kumkalisha ana miezi kama ya huyu wa mtoa mada. Nitakuletea ukae nae siku moja kama hujamrudisha ndani ya siku tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nimelea Sana watoto..tena hao wadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ampe kelebu tena?Angalia mtoto wako huwa anapata haja mida gani.
Ikifika mida mida hiyo mkalishe kwenye potty ikiwekekana umwekee cartoon au uimbe nae nyimbo za nursery.
Akiweza kutoa Haja kwenye potty mpe zawadi. Makofi yanatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema walichokosea hatukuzipata kumzoesha tangu akiwa mdogo, tumeanza kumkalisha ana miezi kama ya huyu wa mtoa mada. Nitakuletea ukae nae siku moja kama hujamrudisha ndani ya siku tatu
Kwahiyo unataka avalishwe Nini mkuu?
mpeleke chooni anajua huyo kitumia chooUnataka amchape? 14 months!!!
Mimi sio mtoa mada mkuumpeleke chooni anajua huyo kitumia choo
🤣🤣🤣 Haya weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleteni
Wiki 2 tu nawarudishia mtoto akiwa amejifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app