Msaada: Mtoto hataki kutumia potty

Msaada: Mtoto hataki kutumia potty

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nimelea Sana watoto..tena hao wadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema walichokosea hatukuzipata kumzoesha tangu akiwa mdogo, tumeanza kumkalisha ana miezi kama ya huyu wa mtoa mada. Nitakuletea ukae nae siku moja kama hujamrudisha ndani ya siku tatu
 
Ha h ha haja inatisha ila tuache masihara hata ss watu wazima magogo tunayaogopa [emoji3][emoji3] khaa divi liacheni liitwe divi.Mi napita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia mtoto wako huwa anapata haja mida gani.

Ikifika mida mida hiyo mkalishe kwenye potty ikiwekekana umwekee cartoon au uimbe nae nyimbo za nursery.

Akiweza kutoa Haja kwenye potty mpe zawadi. Makofi yanatosha.
Ampe kelebu tena?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Sema walichokosea hatukuzipata kumzoesha tangu akiwa mdogo, tumeanza kumkalisha ana miezi kama ya huyu wa mtoa mada. Nitakuletea ukae nae siku moja kama hujamrudisha ndani ya siku tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleteni
Wiki 2 tu nawarudishia mtoto akiwa amejifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto ni kumzoesha mapema tu,wa kwangu nilianza kumzoesha akiwa na miez 6,sikuwahi kumzoesha pampas..na amekuwa bila pampas.

Katika umri huo alikua anasema 'joa au kunya' na alikua anaenda kujisaidia chooni(kuchuchumaa kwenye sink).Hata usiku ilikua akibanwa anaamka na kuniamsha nimpeleke chooni.

So,kwa chochote kile ni kumzoesha mapema na kutomchekea anapofanya tofauti.
 
Back
Top Bottom