Bila kuoteza mda, ni mtoto mwaka na nusu kiumri, wiki ilopita alilazwa kwa ugonjw, kaandikiwa sindano, nashukuru Mungu ametoka, alimaliza sindano jumapil ilopita. Lakini mpaka sasa paja linamuuma, ukipashika alipochomwa sindano ndani kama kuna ugumu, alaf anakuwa kama anachechemea, je nimpe dawa gani ili uvimbe upungue