ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Bila kuoteza mda, ni mtoto mwaka na nusu kiumri, wiki ilopita alilazwa kwa ugonjwa, kaandikiwa sindano, nashukuru Mungu ametoka, alimaliza sindano Jumapil ilopita. Lakini mpaka sasa paja linamuuma, ukipashika alipochomwa sindano ndani kama kuna ugumu, alafu anakuwa kama anachechemea.
Je, nimpe dawa gani ili uvimbe upungue?
Je, nimpe dawa gani ili uvimbe upungue?