Msaada: Mtoto kajigonga kwenye gari na kufariki, wazazi hawataki kesi, traffic wanataka kesi

Msaada: Mtoto kajigonga kwenye gari na kufariki, wazazi hawataki kesi, traffic wanataka kesi

Tafuta mwanasheria atakuhakikishia kama utashinda hiyo kesi au la.
 
Ushahidi ukikamilika ndio kesi inaenda mahakamani. Kama kesi haidhaminiki polisi, kesi inaweza pelekwa mahakamani, halafu ikawa inatajwa huku wanasema ushahidi bado kukamilika. Hakuna muda maalumu wa kukamilisha ushahidi
Hahaaa asante ntamaholo, unaona nimecheka kidigo nawaza kwamba, ikiwa hakuna muda maalum hapo labda panaweza kuhitaji marekebisho maana inaweza kuwa uchochoro wa mlungula pia. Nimawazotu.
 
Hahaaa asante ntamaholo, unaona nimecheka kidigo nawaza kwamba, ikiwa hakuna muda maalum hapo labda panaweza kuhitaji marekebisho maana inaweza kuwa uchochoro wa mlungula pia. Nimawazotu.
Ni kweli mkuu
 
Ukikosa Mens rea& Actus Rea katika Scenario yoyote ile ni ngumu ku establish bases ya case theme yako.? Kukiwa na state of mind na Kitendo kilichofanya kosa liwepo ni Easy kuanzisha investigation ya such an offence
Mens rea kwenye traffic offence? Must be kidding!
 
Hayo maelezo yako ndio yanayopelekea tudhani kuna kesi hapo...hakuna mtu utakayempa maelezo hayo alafu akwambie 'wewe huna makosa nenda'

Kujigonga mpaka kupoteza maisha basi huenda kulikuwa na nguvu kubwa iliyosababisha mtoto kupata madhara makubwa..sasa je alisukumwa na mwenzake? alijigonga mwenyewe? madhara aliyapata baada tu ya kujigonga au alijigonga na kuangukia kitu chini? alifariki baada ya muda gani toka aumie?

Nadhani kuna mengi jamuhuri ingependa kufahamu kuona kama gari na mmiliki wake wana mchango, kabla ya kuona uhusiki..hao Wazazi hawahusiki tena hapa, ingawa watahitajika kutoa ushahidi huko mahakamani.
 
Hapo Hamna kesi it just an accident kwa sababu hukuwa na nia mbovu ya kutenda kosa hilo(malice aforethought)
 
Back
Top Bottom