Msaada: Mtoto mchanga kubonyea kichwani

Msaada: Mtoto mchanga kubonyea kichwani

GUI1

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
4,007
Reaction score
5,290
Wadau habari za asbh,
Naomba kuuliza nn kina sababisha mtoto mchanga kubonyea kichwani sehemu ya mbele?
Na je ni tatizo kubwa? Kama ni tatizo ni nini suluhisho lake?
 
Atakaza Tu kama ni utosi kucheza kunamifupa bado haijajiunga.ila kama nikubonyea Tu muonne dk
 
sio tatizo, ila usije kujaribu kupashika/kupress hapo.
 
Mkuu mimi nina mtoto wa miaka16 amebonyea kichwa utosini, je kuna tiba yoyote naweza kupata kurekebisha tatizo
 
Back
Top Bottom