Msaada,mtoto mwaka moja na nusu kushindwa kukaza shingo,kukaa wala kutembea

Msaada,mtoto mwaka moja na nusu kushindwa kukaza shingo,kukaa wala kutembea

Lisaah

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana jamii,ninamtoto wa ndugu yangu yupo nyumbani ambaye mama yake alifariki wiki mbili baada ya kujfungua sasa amitmiza mwaka na nusu tatizo ni kwamba shingo haikazi mpaka sasa,hatembei kutamka maneno shida wala kucheza kitototo.

Hospital tumeenda wanasema shida imeanzia pindi alpo zaliwa kwamba hakulia wala hawakumuweka kwenye oxygen kwahiyo ubongo umesiiz,pia wamesema atakujakuacquire taratbu na wametuanzishia klinik tangu mwaka jana mwezi wa 5,pia anatatizo la kukakamaza misuli sasa je kama kuna yeyote mwenye kufahamu au kuyashuhudia haya matatizo kwa watoto kama huyu naomba japo ushauri au maelekezo juu ya hili au kama kuna tiba mahali,asanteni!
 
Mmoja wenu anafanya mapenzi nje na akirudi haogi anashika mtoto.kumkila mtoto.
 
Poleni sana. Sina utaalamu kuhusu hili acha wanaofahamu watoe ushauri. Nimeguswa sana sikuweza kusoma bila kusema angalau Pole kwa shida inayowapata ninyi nyote pamoja na mtoto!
 
Poleni sana. Sina utaalamu kuhusu hili acha wanaofahamu watoe ushauri. Nimeguswa sana sikuweza kusoma bila kusema angalau Pole kwa shida inayowapata ninyi nyote pamoja na mtoto!

asante ndugu! Kwakwel mm mwenyewe ckuwah kushuhudia hili tatzo ila cku znavyoenda nimepa kuona mtoto kama huyu wetu nikiwa mkoa mmoja na mwngine kwenye media the same story na hao ni wakubwa kdogo miaka3 na 10,sasa najiuliza ni ugonjwa usioweza kuponywa au ni aina ya tatzo la watoto flan.
 
Habari wana jamii,ninamtoto wa ndugu yangu yupo nyumbani ambaye mama yake alifariki wik mbil baada ya kujfungua sasa amitmiza mwaka na nusu tatzo ni kwamba shngo haikaz mpaka sasa,hatembei kutamka maneno shida wala kucheza kitototo.Hospital tumeenda wanasema shida imeanzia pindi alpo zaliwa kwamba hakulia wala hawakumuweka kwenye oxygen kwahiyo ubongo umesiiz,pia wamesema atakujakuacquire taratbu na wametuanzishia klinik tangu mwaka jana mwez wa5,pia anatatizo la kukakamaza misuli sasa je kama kuna yeyote mwenye kufahamu au kuyashuhudia haya matatzo kwa watoto kama huyu naomba japo ushauri au maelekezo juu ya hili au kama kuna tiba mahali,asanteni!

Pole sana.
Nahisi mtoto atakuwa na Celebral Palsy (CP).
Sijui kama ina matibabu mbali na kukubali kumlea mtoto kama alivyo. Nimewahi kuwaona watoto hivyo wanne, wote hawakufikisha miaka 5, wakatwaliwa na muumba. Malezi yao ni very challenging, yataka moyo hasa.
 
Huyo ana aina mojawapo ya developmental disabilities, cjui ipi maana unahitaji uchunguzi zaidi kujua. Ki ukweli haina tiba, tiba ni nyie ndugu mumkubali alivyo na kumsaidia kuishi maisha mazuri na ya amani.
 
Pole sana.
Nahisi mtoto atakuwa na Celebral Palsy (CP).
Sijui kama ina matibabu mbali na kujubali kumlea mtoto kama alivyo. Nimewahi kuwaona watoto hivyo wanne, wote hawakufikisha miaka 5, wakatwaliwa na muumba. Malezi yao ni very challenging, yataka moyo hasa.

ndugu yangu ndio hivyohivyo walivyoutaja CP..mungu wangu!
 
ndugu yangu ndio hivyohivyo walivyoutaja CP..mungu wangu!

Kwa lugha yetu huyo mtoto tunamwita SOJI kama nilivyokuelezea hapo mwanzo na ugonjwa huo hauna tiba. Only Jesus can hill your child. Pole sana Mungu atakusaidia
 
anahitaji kuonwa na daktar bngwa wa watoto.
anahitaji mazoezi ya mwili kumsaidia kujenga misuli,viungo ili aweze kukaa,kutembea n.k.
pia kumsaidia kuongea na kujenga utashî wake kama kuchora,michezo ya watoto wadogo mbalimbali.
hilo si tatizo la kusabadisha kuondoa uhai wake.
 
Back
Top Bottom