Habari wana jamii,ninamtoto wa ndugu yangu yupo nyumbani ambaye mama yake alifariki wiki mbili baada ya kujfungua sasa amitmiza mwaka na nusu tatizo ni kwamba shingo haikazi mpaka sasa,hatembei kutamka maneno shida wala kucheza kitototo.
Hospital tumeenda wanasema shida imeanzia pindi alpo zaliwa kwamba hakulia wala hawakumuweka kwenye oxygen kwahiyo ubongo umesiiz,pia wamesema atakujakuacquire taratbu na wametuanzishia klinik tangu mwaka jana mwezi wa 5,pia anatatizo la kukakamaza misuli sasa je kama kuna yeyote mwenye kufahamu au kuyashuhudia haya matatizo kwa watoto kama huyu naomba japo ushauri au maelekezo juu ya hili au kama kuna tiba mahali,asanteni!