RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kiukweli nimechanganyikiwa.Mtoto wa dada yangu kijana wa miaka 16 anakojoa damu.Mwili unabadilika rangi na kuwa mweupe,macho meupe hospitalini wamekosa ungonjwa wa aiona yoyote.Nakashaongezewa zaidi ya drip 4 za damu na maji.Kwa sasa yupo hospitali ya nkiga.
Nawaza apelekwe kuombewa dua sijui ntakuwa sahihi.Kiukweli nimechanganyikiwa.
Nawaza apelekwe kuombewa dua sijui ntakuwa sahihi.Kiukweli nimechanganyikiwa.