Msaada:Mtoto wa dada yangu anakojoa damu,hospitali hawaoni ugonjwa.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kiukweli nimechanganyikiwa.Mtoto wa dada yangu kijana wa miaka 16 anakojoa damu.Mwili unabadilika rangi na kuwa mweupe,macho meupe hospitalini wamekosa ungonjwa wa aiona yoyote.Nakashaongezewa zaidi ya drip 4 za damu na maji.Kwa sasa yupo hospitali ya nkiga.

Nawaza apelekwe kuombewa dua sijui ntakuwa sahihi.Kiukweli nimechanganyikiwa.
 
Hili tatizo litakuwa nje ya uwezo wa hospitali,kwa maana hiyo linaitaji Maombi au dua kama ilivyosema .hivyo kwakukusaidia Kwa hakika msaada Wa maombezi piga simu au what sap namba +256 759 869 595 .jina La muombeaji ni Brother Ronnie Makabai :ETM Church .Salama Road .Kampala Uganda .Mimi ni shuhuda binafsi .hakuna ubabaishaji yaani huyu ndugu ni sawa na Tb Joshua Wa Nigeria .sisi tulimjua kwa bahati sana baada ya kushindwa jaribio la haraka kumpeleka mgonjwa Kwa Tb Joshua nchini Nigeria ,au unaweza pata habari zaidi kwenye You tube tafuta ETM Church au Brother Ronnie Makabahi .hautajutia kumfahamu
 
atakuwa kapigwa juju huyo linamnyonya damu

ndio lazima nifikiri ivo maana hosp. hakuna ugonjwa na wa-tz 90% tuna amini juju asee
 
Nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia Mtoto wa dada yako nipate kumtibia apate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Mala nyingi huwa ni kichocho MKUU, unakuwa unakojoa dam
 
Nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia Mtoto wa dada yako nipate kumtibia apate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
na mimi nilitaka nimshauri akutafute,afadhali umejileta mkuu,na akipona alete mrejesho hapa ili na sisi yakitukuta tujue pa kukimbilia,ila angalizo kwa mkuu Mzizi MKAVU,chonde usimbamize bei kali ndugu yetu huyu,tunaamini humu JF sisi sote ni ndugu tusiojuana sura,ila kupitia majina yetu,so tusaidiane,binafsi nimeguswa na kushtushwa na tatizo la huyo dogo,nime`imagine lingekuwa ni tatizo langu,daah!
 
na mimi nilitaka nimshauri akutafute,afadhali umejileta mkuu,na akipona alete mrejesho hapa ili na sisi yakitukuta tujua pa kukimbilia,ila angalizo kwa mkuu Mzizi MKAVU,chonde usimbamize bei kali ndugu yetu huyu,tunaamini humu JF sisi sote ni ndugu tusiojuana sura,ila kupitia majina yetu,so tusaidiane,binafsi nimeguswa na kushtushwa na tatizo la huyo dogo,nime`imagine lingekuwa ni tatizo langu,daah!
Huyu atakuwa amefanyiwa uchawi ndio maana anatokwa na hiyo damu pasipo kukatika. Akitumia dawa zangu ni siku 3 amepona.
 
Hili tatizo litakuwa nje ya uwezo wa hospitali,kwa maana hiyo linaitaji Maombi au dua kama ilivyosema .hivyo kwakukusaidia Kwa hakika msaada Wa maombezi piga simu au what sap namba +256 759 869 595 .jina La muombeaji ni Brother Ronnie Makabai :ETM Church .Salama Road .Kampala Uganda .Mimi ni shuhuda binafsi .hakuna ubabaishaji yaani huyu ndugu ni sawa na Tb Joshua Wa Nigeria .sisi tulimjua kwa bahati sana baada ya kushindwa jaribio la haraka kumpeleka mgonjwa Kwa Tb Joshua nchini Nigeria ,au unaweza pata habari zaidi kwenye You tube tafuta ETM Church au Brother Ronnie Makabahi .hautajutia kumfahamu
Hapo hakuna cha kuombea kitu huo ni uchawi wa kumtoa mwanamke damu. Ataombea na wachungaji hata 1000 sio rahisi kupona.Mpaka ampate mtibabu wa dawa za asili ndipo atakapo weza kutibiwa na kupona.
 
mshawishi umsaidie mumuokoe huyo mtoto mkuu...
mimi tiba zangu sio za kumshawishi mtu. Mimi tiba zangu ni tiba za uhakika nimesha mpa Address zangu akihitaji tiba toka kwangu nitweza kumtibia asipo hitaji tiba toka kwangu atakwenda kwa watibabu wengine kutibiwa mimi huwa simlazimisha mtu kuja kwangu kumtibia ninajuwa kile ninacho kifanya katika mambo ya utibabu.
 
atakuwa kapigwa juju huyo linamnyonya damu

ndio lazima nifikiri ivo maana hosp. hakuna ugonjwa na wa-tz 90% tuna amini juju asee
mambo ya Tanga hayo ukute kashavunja mlango wawatu na hizi baleghe za mapema pole yake! waone na watu kama mzizimkavu na watu wa Kariba yake
 
anaendelea vizuri kuna mtaalamu alimshughulikia.
 
Back
Top Bottom