Fahad Abdallah
Member
- May 8, 2020
- 93
- 327
Nakushukuru sana.Hakupimwa joto la mwili.Ni maneno ya mdomoni tu kuwa apimwe malaria na akapimwa.Nashauri, afanyiwe kipimo cha FULL BLOOD PICTURE na ESR pia. Huenda tukajuwa pa kuanzia.
Na je, alipo enda hospital alipimwa joto la mwili ? Na lilikuwa ni ngapi ???
Joto kali la mwili kuua haraka, rudisha mtoto hospitali awekewe drip wakati diagnosis nyingine zinafanyika, ukimrudisha nyumbani utakua umemuua mwenyeweHabarini wakuu.Poleni kwa majukumu.
Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7.Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria,hamna.Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin,cetrizen na paracetamol.
Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?.
NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.
Hajapoteza hamu ya kula,haisi kichefuchefu na hatapiki.Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.
Basi namrudisha tena hospitali.Tupo nyumbani kwa sasa.AhsanteJoto kali la mwili kuua haraka, rudisha mtoto hospitali awekewe drip wakati diagnosis nyingine zinafanyika, ukimrudisha nyumbani utakua umemuua mwenyewe
Sawa, mpeleke hospital na sio dispensary.Nakushukuru sana.Hakupimwa joto la mwili.Ni maneno ya mdomoni tu kuwa apimwe malaria na akapimwa.
Nakazia mostly inakuja ni blood infections, nilipata hio shida kwa watoto wangu last week,Nashauri, afanyiwe kipimo cha FULL BLOOD PICTURE na ESR pia. Huenda tukajuwa pa kuanzia.
Na je, alipo enda hospital alipimwa joto la mwili ? Na lilikuwa ni ngapi ???
Jitahidi sanaa dakitari ampe treatment ya kushusha joto la kuchemka na aendelee kumstudy angalao kwa masaa 12. Wakati uchunguzi wa magonjwa mengine yana endelea, usikubali kutudi nyumbani mpaka pale utakavo ona joto limeshuka kabisa.Basi namrudisha tena hospitali.Tupo nyumbani kwa sasa.Ahsante
Hiyo ni nzuri, ni paracetamol suppository. Huwa inasaidia sanaMimi kwa kawaida huwa siamini majibu ya hospital moja. Mpeleke hospital nyingne apimwe tena. Pia kuna kidonge huwa kinaingizwa kwenye makalio kinashusha homa fasta. Ukikosa nunua ibumex iko njema sana.
Homa huwa inakausha damu.
Usirudi hospital ile ile. Nimeuguza sana watoto ndo maana nakwambia hivo. Pia kwanin wapime maleria peke ake??Basi namrudisha tena hospitali.Tupo nyumbani kwa sasa.Ahsante
Check blood infectionsHabarini wakuu.Poleni kwa majukumu.
Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7.Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria,hamna.Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin,cetrizen na paracetamol.
Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?.
NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.
Hajapoteza hamu ya kula,haisi kichefuchefu na hatapiki.Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.
Ahsante sana.Nampeleka hospitali ya wilaya muda huuSawa, mpeleke hospital na sio dispensary.
Hakikisha anapimwa joto la mwili, full blood picture, esr na hata blood sugar .
Kuna baadhi ya wahudumu wa Afya huchukulia mambo ki wepesi sana. Rudi hospital mtoto akatibiwe upya.
Nimebadili hospitali kwa sasa.Nampeleka hospitali ya wilayaUsirudi hospital ile ile. Nimeuguza sana watoto ndo maana nakwambia hivo. Pia kwanin wapime maleria peke ake??
Nitawapa mrejesho.AhsanteYaani bila shaka ni hiyo blood infection, na Kama kipimo cha damu nilicho shauri hapo juu kitaonesha seli nyeupe za damu ziko juu sana basi huenda ikalazimu awe admitted na kuanzishiwa sindano.
Naomba baada ya kurudi naye hospital utuletee mrejesho hapa.
Nipo Mwanza mkuu.Nilimpeleka zahanati.Ila kwa sasa nipo njiani naenda nae sekou_toureNdugu hilo tatizo la joto mda wote kwa mtoto sio la kupuuza na kukaa nyumbani, kuna rafiki yangu mtoto wake alifariki kwa hali kama hiyo, mimi pia ilitokea kwa mtoto wangu, madaktari kila wakipima hawaoni kitu, nashukuru sana madaktari wa Bochi hospital wakashauri mtoto apewe dawa za Malaria kwahyo akaanzishiwa hiyo dose, kumbe alikuwa na Malaria iliyojificha, wakati mwingine Malaria ikipimwa haionekani, nakushauri mpeleke hospital kubwa kubwa mwanao usimpeleke zahanati hizi, kama upo dar mpeleke Bochi nawaamini ila ujipange hela kama hauna bima