Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wilaya gani?Ahsante sana.Nampeleka hospitali ya wilaya muda huu
Kivipi mkuuTatizo mna complicate sana vitu
NyamaganaUko wilaya gani?
Sawa mkuuJitahidi sanaa dakitari ampe treatment ya kushusha joto la kuchemka na aendelee kumstudy angalao kwa masaa 12. Wakati uchunguzi wa magonjwa mengine yana endelea, usikubali kutudi nyumbani mpaka pale utakavo ona joto limeshuka kabisa.
Kama uko karibu na hospitali ya Butimba ungeenda hapo hawana foreni kubwa ya wagonjwa, na gharama itakua nafuu kiasi.Nyamagana
MREJESHO:Kutokana na ushauri wenu,nilimpeleka mtoto hospitali tofauti na ile ya mwanzo.Wametumia BS badala ya MRDT test.Amekutwa na malaria 7.Ameshaanza dozi ya ALU.Nawashukuru sana.
Mungu awabariki sana.
🙆Miaka mingi iliyopita mtoto wangu mmoja alikuwa anachemka ugonjwa hauonekani.
Mwisho Dr. Kyendesya (RIP) pale Mbeya akampanua mdomoni kuchungulia kooni kuna vidonda.
Mpeleke mtoto hosp
Check UTINakushukuru sana.Hakupimwa joto la mwili.Ni maneno ya mdomoni tu kuwa apimwe malaria na akapimwa.
Hii ilimtokea jiran yangu nalileta hapa mada mtoto kapimwa hospital 2 hakuna maleria ila mzazi alijitoa ufahamu akamuanzishia dozi yamaleria mtoto homa ikashukaMREJESHO:Kutokana na ushauri wenu,nilimpeleka mtoto hospitali tofauti na ile ya mwanzo.Wametumia BS badala ya MRDT test.Amekutwa na malaria 7.Ameshaanza dozi ya ALU.Nawashukuru sana.
Mungu awabariki sana.
Kabisa mkuu!yaweza kuwa malaria waambie watumie BS badala ya MRDT