Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Jifunze malezi. Unaposema mtoto mtundu inamaanisha hakuna malezi hapo, kama unamkataza mtoto kufanya jambo halafu anaendelea kufanya na unamchekea kisha unasema ni mtundu tafuta anayejua kulea akusaidie usije ukampoteza mtoto kimaadili. Charaza mtoto kwani mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.umenena