Km mama yake umuacha mda mlefu mtoto uchukia na kukataa ata kunyonya na akishakua ivo uwezi mlazimisha akanyonya na ukimchunguza sana utakuta upendo ata kwa mama aupo atamama aje kachelewa utakuta mtoto ana mda nae Bali umpenda sana Baba au bint wa kazi au yoyote amba anakua nae mala nyingi,chamsingi km anakula basi mkazania mazima ya unga ,aya kidogo nigharama maana utakuta kwa wiki kopo alimalizi km uwezo huo huna basi mpe ya ngo'mbe na akikisha ata usku yanakua kwenye chupa ivyo ta usku wa manane akikisha unamuamsha na kumpa maziwa mfano asilale by sambili usku mpaka asbh bila kumpatia,pia muanzishie chakula laini kingine unamsagia kwenye blenda,na akikisha uji wake unalishe na umewekwa maziwa,pia mjitaidi akae msafi kumuondolea magonjwa ambukizi maana kinga yake itakua pungufu kutokana na kuyakosa maziwa ya mama,Lakini usiogope atatoka tu ilimladi umuwekee umakini japo anaghalama kidogo lakin atazoea na afya yake itakua poa usisahau pia kumpa na juice lakini isiwe ya dukani mtengenezee na hii usiiwekee sukari km utaweka sukari iwe kidogo sana.Kila la kheli na Mungu atakusaidia na kumlinda.