Msaada: mtoto wa miezi minne kukataa kunyonya ziwa la mama yake

Msaada: mtoto wa miezi minne kukataa kunyonya ziwa la mama yake

Wangu alizira na miezi saba,
Akaacha kabisa kabisa mpaka saa hizi anaongea ndo anadai nyonyo
Hahahah dah.
Mi kefestibon kangu kalizira ziwa la mamaake kakiwa na miezi mitatu. Ilikuwa kasheshe lakini Mungu amekawezesha hivi sasa kanawanyoosha wenzie darasani sekondari huko.
 
Km mama yake umuacha mda mlefu mtoto uchukia na kukataa ata kunyonya na akishakua ivo uwezi mlazimisha akanyonya na ukimchunguza sana utakuta upendo ata kwa mama aupo atamama aje kachelewa utakuta mtoto ana mda nae Bali umpenda sana Baba au bint wa kazi au yoyote amba anakua nae mala nyingi,chamsingi km anakula basi mkazania mazima ya unga ,aya kidogo nigharama maana utakuta kwa wiki kopo alimalizi km uwezo huo huna basi mpe ya ngo'mbe na akikisha ata usku yanakua kwenye chupa ivyo ta usku wa manane akikisha unamuamsha na kumpa maziwa mfano asilale by sambili usku mpaka asbh bila kumpatia,pia muanzishie chakula laini kingine unamsagia kwenye blenda,na akikisha uji wake unalishe na umewekwa maziwa,pia mjitaidi akae msafi kumuondolea magonjwa ambukizi maana kinga yake itakua pungufu kutokana na kuyakosa maziwa ya mama,Lakini usiogope atatoka tu ilimladi umuwekee umakini japo anaghalama kidogo lakin atazoea na afya yake itakua poa usisahau pia kumpa na juice lakini isiwe ya dukani mtengenezee na hii usiiwekee sukari km utaweka sukari iwe kidogo sana.Kila la kheli na Mungu atakusaidia na kumlinda.
 
Please mwelekeze utunzaji wa hayo maziwa kwenye pump
Naomba kwenye hili nizungumzie kwa upande wangu.
Baada ya mtoto kukataa kunyonya tulinunua pump. Mama akawa anakamua maziwa na kuweka kwenye chupa then tukawa tunaweka kwenye fredge.
Tulipo hitaji kumpa mtoto tuliyapasha moto kwa bottle warmer.
Kitu kikubwa ni kuhakikisha usafi wa Pump, Chupa na chuchu pia usafi wa ZIWA la Mama kabla ya kuanza kukamua maziwa.
Hope nitakuwa nimesaidia.
 
Sikiliza mtoa mada kuna vidudu ndani yamaziwa yamama ya kwanza hua kama vutundu vya maziwa ya mama kuna baazi vimeziba basi maziwa ya mama yanajaa na kua na moto hebu ya tizama kama yamejaa na jeeyana moto kama yamejaa na yana moto chukua majani yandolele megi yakamue mpaka uone hayatoi maziwa alafu yaoshe na maji yabalidi ampe anyoje kesho tena kamua alafuacha mtoto hatakua na shida tena kama alikua anahalisha atafugsha atajonha
 
Mwanangu nae kakataa ziwa moja halitakiki kabisa ananyonya moja tu
Vipi alinyonya tena au ? Kama alinyinya je ulifanyaje ? Mie mwanangu ana miezi miwili na siku sita hataki kabisa kunyonya ziwa la kulia. Yaani nikimpa analia sana, shingo anageuza pembeni halafu anajivuta huyoo ila la kushoto ananyonya vizuri hadi anapitiwa na usingizi
 
Back
Top Bottom