Msaada; Mtoto wa miezi miwili analia sana!!

Msaada; Mtoto wa miezi miwili analia sana!!

Loafer tanzania

Senior Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
162
Reaction score
184
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
 
Yan ananyonya vzur.. Na ananyonya sana tu.. Yani usiku mnaweza kesha naye kwa kilio.
 
ukiachana na gesi tumboni huwa kuna vitu kama Majina-ila hii ipo kiimani na kama uishi na baba yake mpeleke kwa baba yake amuone.All in all haya yote ni imani tu Watoto wengi hulia sana ahadi watakapo maliza miezi 3
 
Dah mi mwenyewe mpaka hua natamani ni mfinye sema bado kachanga tu
 
hiyo ishatokea kwa mtoto wangu, tulikesha na mke wangu. Kila mtu alisema lake, mara jina, mara hashibi n.k. tulimpeleka kanisani akaombewa ndo akapona
 
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni ll kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Ananyonya lakini hashibi...muongeze na maziwa ya kopo
 
Back
Top Bottom