Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Dada lakni,,,,sawa kaka wait nifike home nimpge
Umeamua kujiokoa mwenyewe ww sio kaka eeh.Mimi ni Dada lakni,,,,
Pole sana kuna mafuta nilikuwa nayanunua sana Kampala kipindi cha nyuma yanaitwa "Skin guard" hebu yatafute, kama unaishi Dar nenda kituo cha mabasi ya Kampala agiza mtu akuletee hata nusu dazani. Naamini utakuja kutoa mrejesho wenye farajaMtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini.
Kwa wanaojua dawa tafadhal naomba mnisaidie !
Tafuta Elocon cream &ointment, mpake pamoja na Enat skin care, utapata matokeo ndani ya masaa macheche au siku 1.Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini.
Kwa wanaojua dawa tafadhal naomba mnisaidie !
Kuna kitu kinaweza kuwa kinamkataa,either chakula,au mazingira aliyopo iwe nje ama ndani ya nyumba yanaweza kuleta reaction inayopelekea hali hiyo na ikitokea hivyo ndo unatumia dawa na dawa bila matokeo,
kama hujagundua kuwa ni allerge.
Vipi anajikuna sana?
Mkuu nenda pale muhimbili kitengo cha ngozi utakutana na madaktari bingwa wa ngozi pale wakina doctor mwemba na wenzake watakusaidia..mpe pole mtoto mzuri mwambie atapona.Jamani picha io hapo ndo kama ivo![]()