Msaada: Mtoto wa mwaka mmoja kutokwa na vipele vidogodogo vigumu

Msaada: Mtoto wa mwaka mmoja kutokwa na vipele vidogodogo vigumu

Mkuu nenda pale muhimbili kitengo cha ngozi utakutana na madaktari bingwa wa ngozi pale wakina doctor mwemba na wenzake watakusaidia..mpe pole mtoto mzuri mwambie atapona.

nipo mwanza mkuu
 
nimeliona hilo tatizo LA mtoto kwa kifipa huo ugonjwa tunauita 'kamwilonde'huu ugonjwa unaweza zunguka hosptali kibao na usipate tiba haya mambo ni ya kienyeji.Tumia magome mabichi ya mkuyu changanya binzari mbichi iliyosagwa changanya na maji chemsha hadi iive ikipoa ,baada ya hapo muugeshe kwanza na maji ya kawaida kisha tumia huo mchanganyiko kumsuuza kwa wiki mbili utanipa majibu mkuu
 
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini.

Kwa wanaojua dawa tafadhal naomba mnisaidie !
huyu mtoto damu chafu, tafuta mitishamba dawa ya kuharisha.. baada ya siku kadhaa vimeisha vyote. mfano miziz ya mbaaz na mengine ukiuliza. Hospitali hatapona kamwe
 
Back
Top Bottom