Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtoto damu chafu, tafuta mitishamba dawa ya kuharisha.. baada ya siku kadhaa vimeisha vyote. mfano miziz ya mbaaz na mengine ukiuliza. Hospitali hatapona kamweMtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini.
Kwa wanaojua dawa tafadhal naomba mnisaidie !