Msaada: Mtoto wa mwezi kutopata choo

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,522
Reaction score
2,651
Rejea kichwa cha habari hapo juu nna mtoto Leo siku 4 hajapata choo ,nlimuona daktari akanambia n kawaida ila nna wasi wasi ,naomben msaada wa kitabibu kwenu madaktari hii hali inasababishwa na nn na nn tiba Yake .natanguliza shukran
 
Mwambie mama wa mtoto awe anakula matunda Sana na ya aina tofauti, ni tiba tosha mkuu , huhitaji kwenda hospital mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…