chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Rejea kichwa cha habari hapo juu nna mtoto Leo siku 4 hajapata choo ,nlimuona daktari akanambia n kawaida ila nna wasi wasi ,naomben msaada wa kitabibu kwenu madaktari hii hali inasababishwa na nn na nn tiba Yake .natanguliza shukran