Bam1
New Member
- May 12, 2021
- 4
- 0
Habari Doctors naomba msaada wenu,
Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital š„ wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote.
Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la mama yake, mtoto amekataa kula amekataa kunywa na mapigo ya moto yanakwenda mbiyo mno, na ana miaka 2½ naomba msaada wenu.