Msaada: Mtoto wangu hajaota meno

Msaada: Mtoto wangu hajaota meno

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Salaam watu wa hapa

Nina mtoto wangu wa kike ana miaka 6 ,mwezi wa kama sokosei wa 2 aling'oka meno ya mbele upande wa juu na chini

Sasa ya chini yameshaota ila ya juu Yale makubwa mawili hadi Leo hayajaota,je tatizo ni nini

Kuna tiba gani inatakiwa ili yaote maana naona siku zinazidi kwenda dogo haoti meno yaliyong'oka ya juu mbele

Naombeni ushauri wa kitabibu juu ya hili.
 
Meno yaliyong'oka uliyatupa wapi? Isije ikawa kuna kiumbe mwenye jicho ovu aliyeyaona.
 
Back
Top Bottom