Wanajanvi, kwa wale madaktari na wazazi naomba mnisaidie mtoto wangu anaumwa kama ifuatavyo:-
Mtoto ana miaka mitano, alitahiliwa akiwa na miezi sita, leo asubuhi nimestukia sehemu aliko tahiliwa, kadudu kake kame vimba sana, hachangamki sana, ila anakojoa vizuri.
Ile sehemu ambako walikata govi ndo imevimba sana.
Nifanyeje? atakuwa ameumwa na mdudu au ni reaction ya nini?
Msaada please!.