Msaada: Mtoto wangu uume wake umevimba

Msaada: Mtoto wangu uume wake umevimba

Yaga

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
27
Reaction score
7
Wanajanvi, kwa wale madaktari na wazazi naomba mnisaidie mtoto wangu anaumwa kama ifuatavyo:-

Mtoto ana miaka mitano, alitahiliwa akiwa na miezi sita, leo asubuhi nimestukia sehemu aliko tahiliwa, kadudu kake kame vimba sana, hachangamki sana, ila anakojoa vizuri.

Ile sehemu ambako walikata govi ndo imevimba sana.

Nifanyeje? atakuwa ameumwa na mdudu au ni reaction ya nini?

Msaada please!.
 
ndio ndo wa kwanza kutwambia mtoto akavimba asubuh mida ya saa nne. ila kaamka vizuri

Mchunguze kwa umakini nyendo zake huenda anafanya nae mchezo mchafu na kwa mtoto akifanyiwa hivo lazima uume uvimbe hii ni kwa uzoefu wangu na kwa matukio kama matatu niliyoyaona!
 
Mpeleke mtoto hospitali haraka. Usipoteze muda huku na Hayo maswali kamwulize daktari.
 
Back
Top Bottom