Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
246
Reaction score
228
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
 
Back
Top Bottom