Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Hii mada umeandika kujifurahisha kwakuwa imeona mtu mwingine kapost. Subiri tatizo likikukuta uje uombe ushauri
 
Kuna watu naona wanaongea vitu hovyo bila ushauri wowote

Binafsi nakushukuru kwa kulijua hio changamoto mapema mimi naweza kukuita mzazi bora maana kufatilia maendeleo na afya ya mtoto ni jukumu lako

Pili nakupongeza kuchukua hatua za haraka na malamoja kumnusuru kijana

Mwisho nawaambia nyie vijana wa miaka ya 2000 kiumbe anayeitwa mwanaume huanza kusimamisha uume toka akiwa na miezi 0 na kuendelea mpaka kufa kwake. Mnapaswa kujua uume ni kiungo pekee cha mwili kinacho jiendesha kwa hiari yake na ndio maana unaamka asubuhi unaona umesimama na baridi ikija unalala.

Hivyo kwa mtoto anapaswa asimashe kila asubuhi kabla hajakojoa ili awe timamu
Sawa sawa Doktari kwa hio akitoka tu tumboni anatakiwa awe amedinda
 
Duh! Hebu tupe scientific explantion umbilical cord ina nini ambacho kinaathiri uume kusimama? Na mama kuji lingiza huo uime SCIENTIFICALLY ina reaction gani inayoufanya urudi kusimama?

N.b
MEDICALLY/SCIENTIFIC EXPLANATIONS ONLY .
Kuna mambo mengine hayana scientific reason usikariri elimu uliyosoma kuwa ndiyo pekee unatibu ama inafanya kazi katika universe.
Sahizi wanasayansi wanaanza ku study about quantum mechanics.yaani vitu visivyoonekana.
Elezea why mtt anapata tatizo Yuko mbali na mama yake Ila mama anahisi something isn't okay.
Kuna jaribio moja ivi watt wa sungura waliuliwa wakiwa mbali na mama zao, Sasa wakati wanauliwa bwanaa mama zao wakawa scanned their brain kiasi kwamba their changed katika hali ya maumivu
 
Haujajibu swali bado
 
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
Utamuumiza mtoto bure na madawa ya watu wazima. Mchunguze akiamka au akiwa anajinyoosha mwili je atasimamisha kama hapana nitafute
 
Back
Top Bottom