Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
Kwa mihemko hii sitashangaa nikisikia umempaka mkongo.
 
Huwa inatokea akasimamisha kwa wakati wake na sio unaoutaka wewe. Mpe muda miezi 7 bado mdogo sana. Unampa dawa za kimasai halafu akasimamisha utaulazaje
Eti jmn
Yaani jamii Ina vitu vya kipuuzi aiseee
Nawaza hiyo mitishamba haijaharibu Figo na maini ya mtt kweli, duh
 
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
Yaani miezi 7 tu ya maisha ushaanza kumlisha mtoto mkuyati akifeli figo utajisikiaje?
 
Wadau wamekupa za uso, ila unastahili. Mtoto wa miezi saba unampa madawa ya ajabu ajabu, zimo kichwani kweli wewe??
 
mvizieni wakati wa kukojoa haudindagi hovyohovyo...mamayake hamnazo na kwa Tabia hizo kama hakusaidiwa wakati wa kudondoka kitovu ,shauri yenu
 
Kuna watu naona wanaongea vitu hovyo bila ushauri wowote

Binafsi nakushukuru kwa kulijua hio changamoto mapema mimi naweza kukuita mzazi bora maana kufatilia maendeleo na afya ya mtoto ni jukumu lako


Pili nakupongeza kuchukua hatua za haraka na malamoja kumnusuru kijana


Mwisho nawaambia nyie vijana wa miaka ya 2000 kiumbe anayeitwa mwanaume huanza kusimamisha uume toka akiwa na miezi 0 na kuendelea mpaka kufa kwake. Mnapaswa kujua uume ni kiungo pekee cha mwili kinacho jiendesha kwa hiari yake na ndio maana unaamka asubuhi unaona umesimama na baridi ikija unalala.

Hivyo kwa mtoto anapaswa asimashe kila asubuhi kabla hajakojoa ili awe timamu
 
Kama kweli ulimpa dawa za kimasai mtoto wa miezi 7 ili asimamishe, ulipaswa kua jela na viboko 12 kuingia na 12 kutoka,
Shwain!
 
Kwa imani za kiasili nasikia ukiupigisha ubo.o wahuyo mtoto kwenye uchhi wa mama yake eti huwa inashtuka !!


Nilisikia tu lakini

Cc Smart911
Kumbe ndio maana kuna vitombi wa Taifa, kumbe walianzia Kutombeshwa kwenye nyapu za mama zao, utashangaa kuna wanaume utadhani wamerogezewa kumma.
 
Dogo miezi saba tu kashaanza kula viagra za kimasai aisee!
 
Nimeitoa mtandaoni
FB_IMG_1737699046877.jpg
 
Back
Top Bottom