Msaada; Mtu yoyote ambaye alishawahi kukopa vision fund au mtumishi wa vision fund microfinance

Msaada; Mtu yoyote ambaye alishawahi kukopa vision fund au mtumishi wa vision fund microfinance

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Husika na maada tajwa hapo juu;

Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani baada ya kumaliza taratibu zote.

Asante
 
Back
Top Bottom