Kikwava JF-Expert Member Joined Sep 6, 2015 Posts 1,741 Reaction score 1,068 Dec 23, 2024 #1 Husika na maada tajwa hapo juu; Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani baada ya kumaliza taratibu zote. Asante
Husika na maada tajwa hapo juu; Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani baada ya kumaliza taratibu zote. Asante
Kilunguru JF-Expert Member Joined Feb 2, 2023 Posts 416 Reaction score 544 Dec 23, 2024 #2 Subiri waamke