chanika moja
Member
- Apr 18, 2015
- 80
- 29
Yap Majengo yapo tiyari bossMajengo yapo tayari?
Sawasawa bossFollowing closely!
Specifications za majengo zikojeMajengo yapo tayari?
Sio TCU neenda Nacte pia uenda na wizarani ya afya utapata muogizo sahihi, hao watu vigezo vyao hubadilika kila wakati, nimchakato mrefu kdgo usikate tamaaUshauri: Kaongee na TCU kwanza ukiwa na Makaratasi yako yote na watu wako unawaamini. Utakuja kunishukuru.
Siyo NACTE ni NACTVET. Huyo jamaa aingie hapa Registration Procedure and Guidelines – The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET)Sio TCU neenda Nacte pia uenda na wizarani ya afya utapata muogizo sahihi, hao watu vigezo vyao hubadilika kila wakati, nimchakato mrefu kdgo usikate tamaa
Maelezo yote yapo kwenye Tovuti zao! Apitie humoSio TCU neenda Nacte pia uenda na wizarani ya afya utapata muogizo sahihi, hao watu vigezo vyao hubadilika kila wakati, nimchakato mrefu kdgo usikate tamaa
Yap Majengo yapo tiyari boss
Ni vizuri kutembelea NACTE kwa muongozoSpecifications za majengo zikoje
Majengo yako mkoa gani ili nikupe mtu kutoka Nacte ili mjadiliane kabla ya atua zingine zaidiHabarini Wana Jambo hili muhimu.
Naombeni msaada wa kupata Muongozo wanamna ya jifungua au kuanzisha CHUO kwa kozi za afya ili nijue taratibu na Sheria za uanzishaji wa kozi hizo.