Msaada: Muongozo wa kuanzisha Chuo kozi za Afya

Msaada: Muongozo wa kuanzisha Chuo kozi za Afya

chanika moja

Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
80
Reaction score
29
Habarini Wana Jambo hili muhimu.
Naombeni msaada wa kupata Muongozo wanamna ya jifungua au kuanzisha CHUO kwa kozi za afya ili nijue taratibu na Sheria za uanzishaji wa kozi hizo.
 
Following closely!
Natafuta mbia JENGO ninalo linahitaji ukarabati mkubwa mbia awe na capital ya kutosha.
 
Ushauri: Kaongee na TCU kwanza ukiwa na Makaratasi yako yote na watu wako unawaamini. Utakuja kunishukuru.
 
Ushauri: Kaongee na TCU kwanza ukiwa na Makaratasi yako yote na watu wako unawaamini. Utakuja kunishukuru.
Sio TCU neenda Nacte pia uenda na wizarani ya afya utapata muogizo sahihi, hao watu vigezo vyao hubadilika kila wakati, nimchakato mrefu kdgo usikate tamaa
 
Sio TCU neenda Nacte pia uenda na wizarani ya afya utapata muogizo sahihi, hao watu vigezo vyao hubadilika kila wakati, nimchakato mrefu kdgo usikate tamaa
Maelezo yote yapo kwenye Tovuti zao! Apitie humo
 
Yap Majengo yapo tiyari boss

Registration process

These are the procedures used by the council in registration process of technical institutions: –
  1. Applicant institution request NACTE to register a technical institution by official letter;
  2. Applicant institution Fill-in the NACTE “Form for registration of technical intuitions”
  3. Attach the relevant documents as pe (2) above and others identified in the form and
  4. Submit the request to NACTE. Then
  5. NACTE verify the application submitted by applicant institution;
  6. NACTE appoints experts from the relevant occupational field as verification team for the physical verification of the applicant institution
  7. The Council inform the applicant institution about the physical verification by official letter
  8. The verification team submits report to the relevant subject board for recommending the registration stage.
  9. The subject board submits reports to the Council for decision; NACTE inform the applicant institution on the decision of the Council by official letter;
  10. NACTE grants registration certificate upon receiving registration fee.
 
Habarini Wana Jambo hili muhimu.
Naombeni msaada wa kupata Muongozo wanamna ya jifungua au kuanzisha CHUO kwa kozi za afya ili nijue taratibu na Sheria za uanzishaji wa kozi hizo.
Majengo yako mkoa gani ili nikupe mtu kutoka Nacte ili mjadiliane kabla ya atua zingine zaidi
 
Back
Top Bottom