Msaada mwanadada anayemtaka Bishanga bure namkabidhi.

nilijua tu kwamba kuna siku rigwaride litakushinda,sasa wazazi wako utawambia kwa nini umeupwaka? Vumilia tu maiwaif,hogo la jang'ombe ndo msalaba wako.

Mkuu imekuaje umeshindwa kusolve mambo ya unyumba kinyumba!
 

Inazidiwa ubora na bidhaa ya kichina.....
 
nilijua tu kwamba kuna siku rigwaride litakushinda,sasa wazazi wako utawambia kwa nini umeupwaka? Vumilia tu maiwaif,hogo la jang'ombe ndo msalaba wako.

Kama mlijaza watu,muachane kwa kujaza watu pia.. Na ndafu iandaliwe na vinywaji kama kawaida
 
Kama hana ladha atatiwa hata ndimu, ishu ni hizo tabia zingine.....

Wapata hivi,wapata hivi,na mkono we ukabakia,
Kataaa kata kata
Kata evelyn kata
Kiuono chako mwenyewe....
Huo mnazi wakatika,
Wakati wa kukatika
Katu katu kaaaa!!!!
Hapo kwenye mkono ukabakia take note....
 
Mkuu imekuaje umeshindwa kusolve mambo ya unyumba kinyumba!

Ndo tatizo la kuoa uzaramoni kaka,mkigombana tu anakuanika,yataisha lakini nikishampiga upande wa khanga
 
we nahisi unamtaka mke wangu,mnaanzaga hivi hivi,i am watching you meeeeen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…