Msaada mwanadada anayemtaka Bishanga bure namkabidhi.

Huyo Bishanga mwenyewe ni Purungu mchuku hanogi hata kwenye Mchuzi wa chukuchuku.
Hata umtie kandimu hanogi,sanasana atachangamka tu kama katiwa bizari nyembamba.
Ndio! Naongea na wewe Bishanga.

we Madam B ladha yangu umeijuaje? nenda huko kwenye thread uliyofunguliwa leo ukajibu hoja kwa nini huonekani jamvini? kuna mtu mpya inaelekea anakutaka huko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…