Msaada: Mwanamke wangu anaingia hedhi kwa siku 7 au 8

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,581
Reaction score
462
Habari wakuu,

Mimi nina mwanamke ambae nahisi moyoni anafaa kuanza familia na mimi.

Ila anatatizo la kuingia blidi siku 7 Hadi nane je! Huu ni ugonjwa au nini?

Maana mm nahis tofauti labuda huenda anaumwa magonjwa mengine, naombeni ushauli wa kitalamu je hili swala likoje?

Nawasilisha wakuu.
 
Kuna wengine siku 3 wengine 4, 5 hadi 8. Inategemea na mwili wa mtu. Pia kuna mwingine anatoa vidamu kidogo tu ila kuna mwingine anatoa damu kama bomba la dawasco.

Wala usihofu.
 
Wajuzi Wanaendelea Kutoa Utaweza Kupata Mbinu
Namna Gani Ufanye Apate Ujauzito Haraka
 
Normal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…