MBEBA MAONO KAJA
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 365
- 195
Ile material inayotumika kwenye viatu hivyi vya ccbrt kiukweli sijapenda.
Its hard plastic, motto Wang alia za kutembea kama amewekewa vyuma, pia akawa hana furaha, hachezi.
Ma nivue, Ma nivue, mwishowe I gave up.
Pole mam, mi alipewa viatu vya ngozi pure chini vimeunganishwa na chuma ili kubalance miguu..