Msaada: Mwanangu amepinda mguu

Ile material inayotumika kwenye viatu hivyi vya ccbrt kiukweli sijapenda.

Its hard plastic, motto Wang alia za kutembea kama amewekewa vyuma, pia akawa hana furaha, hachezi.

Ma nivue, Ma nivue, mwishowe I gave up.


Pole mam, mi alipewa viatu vya ngozi pure chini vimeunganishwa na chuma ili kubalance miguu..
 
poleni sana ndugu zangu lakini tuwapeleke kliniki kitu ambacho ni muhimu sana na pia tukifanya maombi kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…