Jamani wajuvi wa haya mambo msaidieni mzazi mwenzetu!Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa kutosha juu ya matatizo kama haya. NITASHUKURU NA KUFURAHI KWA MCHANGO WENU NA USHAURI, MUNGU AWABARIKI NA KUWATIA NGUVU!
Epuka kula vyakula vyenye viungo kama vile vitunguu swaumu. Kuhusu vibarango nenda hospitali au famas kuna dawa ya vidonge jina nimesahau dozi yake ni mwezi mmoja vinapona kbs
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa kutosha juu ya matatizo kama haya. NITASHUKURU NA KUFURAHI KWA MCHANGO WENU NA USHAURI, MUNGU AWABARIKI NA KUWATIA NGUVU!