Msaada: Mwanangu anaugua vipele kama vijipu, nini tatizo?

Mwamgunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
247
Reaction score
48
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa kutosha juu ya matatizo kama haya. NITASHUKURU NA KUFURAHI KWA MCHANGO WENU NA USHAURI, MUNGU AWABARIKI NA KUWATIA NGUVU!
 
Jamani wajuvi wa haya mambo msaidieni mzazi mwenzetu!
 
Epuka kula vyakula vyenye viungo kama vile vitunguu swaumu. Kuhusu vibarango nenda hospitali au famas kuna dawa ya vidonge jina nimesahau dozi yake ni mwezi mmoja vinapona kbs
 
anayeumwa ni mtoto sio mama huyo!!! mama nenda kwa madaktari wa watoto!
 
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa kutosha juu ya matatizo kama haya. NITASHUKURU NA KUFURAHI KWA MCHANGO WENU NA USHAURI, MUNGU AWABARIKI NA KUWATIA NGUVU!

Ni dalili ya kutopata lishe anayostahili na hiyo itapelekea kupata utapiamlo. Jitahidi sana kumpa lishe bora. Kunyonya na uji. Akila vizuri na kushiba muda mwingi atautumia kulala na hiyo itampa afya njema mwanao. Ingawa joto pia linaweza kuwa sababu ya hivyo vipele ingawa sababu ya kwanza niliyokupa inaweza kuwa chanzo.
 
Huo ugonjwa unaitwa impetigo, nenda pharmacy nunua Bactroban cream mpake mara mbili kwa siku baada ya kumwogesha.
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa kutosha juu ya matatizo kama haya. NITASHUKURU NA KUFURAHI KWA MCHANGO WENU NA USHAURI, MUNGU AWABARIKI NA KUWATIA NGUVU!
 
Nahisi damu imechafuka tu, ila michepuko sio dili always, mfikishie bbaba wattoto hili.
 
hao ni bacteria wanaitwa streptococcus nenda maabara ukapime then uhakikishe utapata majibu ya dawa sahihi
 
Back
Top Bottom