mzurikwetu
Member
- Mar 21, 2011
- 68
- 4
j
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nimpe nn mwanangu ili awe mnene?????mpaka najihisi am a failure mom...plz msaada
jamani nimpe nn mwanangu ili awe mnene?????mpaka najihisi am a failure mom...plz msaada
wa kiume,mwaka na miezi 3...kula utata..ana kilo kumi
jamani nimpe nn mwanangu ili awe mnene?????mpaka najihisi am a failure mom...plz msaada
Mpe Arv..
jamani nimpe nn mwanangu ili awe mnene?????mpaka najihisi am a failure mom...plz msaada
wa kiume,mwaka na miezi 3...kula utata..ana kilo kumi
La Cosa Mia rudi tena mkuu ulimsoma vibaya muuliza swali, rudi tena na mimi nifaidike tafadhali.kama kweli ana kilo kumi mbona amepita hata kilo anazotakiwa kuwa nazo kutokana na umri wake kwasababu mtoto wa miezi mitatu anatakiwa kuwa na kilo kuanzia 6 hadi 7 asishuke hapo...kwa hiyo mimi naona anakua vizuri ila nahisi huo atakuwa mtoto wako wa kwanza maana wamama wapya ufikiri unene wa mtoto ndio afya wakati sio kweli...na wengine hufikia kumlazimisha mtoto kula kwa nguvu ili afikie "unene" autakao mama..
Cha msingi hakikisha anakula vizuri na kama anasumbua kula angalia labda position unayompea chakula (kumnyonyesha) haipendi na hivyo kumkera ila hapa sijaona tatizo bali hofu yako tu
asante nitafanya hvo kuanzia kesho
asante nitafanya hvo kuanzia kesho